MEI 20, 2019
MAMBO MAPYA
Tafsiri ya Ulimwengu Mpya Imetolewa Katika Kimarshall
Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo ilitolewa katika lugha ya Kimarshall Mei 19, 2019, jijini Majuro, katika Visiwa vya Marshall. Tafsiri ya Ulimwengu Mpya imetafsiriwa ikiwa nzima au sehemu katika lugha 180.

