Hamia kwenye habari

JANUARI 1, 2020
MAMBO MAPYA

Masomo ya Biblia Kwenye Mtandao Yametolewa Katika Kiarabu na Kichina

Masomo ya Biblia Kwenye Mtandao Yametolewa Katika Kiarabu na Kichina

Masomo ya Biblia Kwenye Mtandao sasa yanapatikana kwenye jw.org katika Kiarabu, Kichina cha Kikantoni (Kilichorahisishwa), Kichina cha Kikantoni (cha Asili), Kichina cha Kimandarini (Kilichorahisishwa), na Kichina Kimandarini (cha Asili).

Masomo haya ambayo yanapatikana pia katika Kiingereza na Kireno, hayajakusudiwa kufuta mpango wetu wa kujifunza Biblia pamoja na mtu mmoja-mmoja. Badala yake, unaweza kunufaika na Masomo ya Biblia Kwenye Mtandao ikiwa unataka kuanza kuichunguza Biblia peke yako au ikiwa huwezi kujifunza Biblia na Shahidi wa Yehova.

Ona Masomo ya Biblia Kwenye Mtandao.