Hamia kwenye habari

MACHI 4, 2019
MAMBO MAPYA

Kurekebishwa kwa Njia ya Kuhesabu Lugha

Kurekebishwa kwa Njia ya Kuhesabu Lugha

Njia inayotumika kuhesabu idadi ya lugha ambazo machapisho yanapatikana kwenye tovuti yetu imerekebishwa. Idadi ya lugha inayoonyeshwa kwenye sanduku la “Chagua Lugha Yako” haitii ndani lugha ambazo zimetofautiana maandishi tu. Kwa mfano, Kiserbia (Cyrillic) and Kiserbia (cha Roma) sasa kinahesabiwa kama lugha moja, na si mbili tena. Hivyo idadi ya lugha kwenye sanduku la “Chagua Lugha Yako” imepungua. Mabadiliko kama hayo yatafanywa baadaye kwenye Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO na programu ya JW Library.