FEBRUARI 13, 2023
MAMBO MAPYA
Hifadhi za ZIP Zitaacha Kutokezwa
Hifadhi za ZIP kwa ajili ya rekodi za sauti (aina ya mp3.zip) hazitapatikana tena kwenye jw.org. Faili hilo za ZIP zilitumiwa kuunganisha MP3 za chapisho au gazeti zima katika faili moja. Ili kupakua rekodi zote za sauti za chapisho fulani, sasa unaweza kutumia mojawapo ya mbinu zifuatazo:
Pakua kila faili kutoka kwenye jw.org ikiwa peke yake
Sakinisha programu ya JW Library na utumie sehemu ya Pakua Midia

