Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Ni Visakuzi Gani vya Intaneti Vinavyotegemezwa?

Ni Visakuzi Gani vya Intaneti Vinavyotegemezwa?

Visakuzi vingi vya kisasa vinategemezwa. Utafaidika sana ukitumia kisakuzi cha kisasa zaidi.

Visakuzi vifuatavyo havitegemezwi:

  • Internet Explorer toleo la 8 na kabla. Ikiwa unatumia kompyuta iliyo na mfumo wa uendeshaji wa mapema zaidi ambao hautegemezi matoleo ya awali ya Internet Explorer, tafadhali tumia kisakuzi kingine.

  • Opera Mini

Utegemezo kwa vifaa vya mkononi vyenye mifumo ya uendeshaji ifuatayo unapatikana:

  • Android 4.0 au wa karibuni zaidi

  • Windows 8.1 au wa karibuni zaidi

  • iOS 7.0 au wa karibuni zaidi (utegemezo wa kiasi kwa vifaa vyenye mifumo ya uendeshaji ya zamani)