Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Je, Kifaa Changu Kinaweza Kutumia Programu hii?

Je, Kifaa Changu Kinaweza Kutumia Programu hii?

Je, Kifaa Changu Kinaweza Kutumia Programu hii?

JW Lugha inaweza kutumiwa katika vifaa vifuatavyo:

● iPad 2 au mpya zaidi (yenye mfumo wa iOS 7.0 au wa karibuni zaidi)

● iPad Mini (yenye mfumo wa iOS 7.0 au wa karibuni zaidi)

● iPhone 4 au mpya zaidi (yenye mfumo wa iOS 7.0 au wa karibuni zaidi)

● iPod Touch (kizazi cha 5) (yenye mfumo wa iOS 7.0 au wa karibuni zaidi)

Utegemezo kwa vifaa vifuatavyo hautapatikana:

● iPad 1

● iPhone 3GS na mpya zaidi