JW Lugha inaweza kutumiwa katika vifaa vifuatavyo:

  • Tablet na simu zenye mfumo wa Android (toleo la 4.1 au la karibuni zaidi)

Utegemezo kwa vifaa vifuatavyo utapatikana karibuni:

  • Kindle Fire HD

Utegemezo kwa vifaa vifuatavyo hautapatikana:

  • Tablet na simu zenye mfumo wa Android toleo la 4.0 na la zamani zaidi

  • Kindle Fire