Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

JW LIBRARY SIGN LANGUAGE

Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi—JW Library Sign Language

Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi—JW Library Sign Language

JW Library Sign Language inapatikana kwenye vifaa vifuatavyo:

Android

  • Vifaa vya Android (tablet na simu) zenye toleo la 4.4 au la hivi karibuni zaidi

  • Kindle Fire HD tablet zenye Fire OS toleo la 4.6.6.1 au la karibuni zaidi

iOS

  • iPad 4 na zinazofuata (yenye iOS 10.0 au ya karibuni zaidi)

  • iPhone 5 na zinazofuata (yenye iOS 10.0 au ya karibuni zaidi)

  • iPod touch 6th generation (yenye iOS 10.0 au ya karibuni zaidi)

Windows

  • Tablet, kompyuta, na simu zenye Windows 10 (Version 1709, OS Build 16299) au ya karibuni zaidi

 

Unapopakua chapisho, programu ya JW Library Sign Language inapakua ukurasa wa Yaliyomo, yenye vichwa vya kila sura na picha zake.

Bofya kitufe cha Pakua, kilichopo mwanzoni mwa ukurasa wa programu ili kupakua video zote za chapisho hilo, au bofya kitufe cha Pakua kilichopo pembeni ya video unayotaka.

Rafiki ambaye amewahi kutumia JW Library Sign Language anaweza kukusaidia kutatua tatizo lako. Ikiwa atashindwa, tafadhali piga simu kwenye ofisi ya tawi iliyo karibu nawe.