JW Library inategemezwa katika vifaa vifuatavyo:

  • Tablet na kompyuta zinazotumia Windows 8

    Hakutakuwa na matoleo mapya ya maktaba kwa ajili ya Windows 8.0. Kupata toleo jipya la maktaba au machapisho zaidi tumia Windows 8.1 au toleo la karibuni zaidi.

  • Simu zinazotumia Windows Phone 8 au toleo la karibuni zaidi

JW Library haitategemezwa katika vifaa vifuatavyo:

  • Kompyuta zinazotumia Windows 7 au toleo la awali

  • Simu zinazotumia Windows Phone 7.8 au chini zaidi