Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Je, Kifaa Changu Kinaweza Kutumia Programu hii?

Je, Kifaa Changu Kinaweza Kutumia Programu hii?

JW Library inaweza kutumiwa katika vifaa vifuatavyo vya Apple:

  • iPad 2 au mpya zaidi (zenye mfumo wa iOS 7.0 au wa karibuni zaidi)

  • iPhone 4 au mpya zaidi (zenye mfumo wa iOS 7.0 au wa karibuni zaidi)

  • iPod touch kizazi cha 5 (zenye mfumo wa iOS 7.0 au wa karibuni zaidi)

Utegemezo kwa vifaa vya zamani hautapatikana.