Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Je, Programu hii Itafanya Kazi Katika Kifaa Changu cha Mkononi?

Je, Programu hii Itafanya Kazi Katika Kifaa Changu cha Mkononi?

JW Library inategemezwa katika vifaa vya Android vifuatavyo:

  • Tablet na simu za Android zinazoendeshwa kwa toleo la 2.3 au la karibuni zaidi

  • Tablet za Kindle Fire

JW Library haitategemezwa katika vifaa vifuatavyo:

  • Tablet na simu za Android zenye mfumo wa uendeshaji wa toleo la 2.2 na au chini zaidi