Vipimo vya ufikikaji

Chagua lugha

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

JW Broadcasting

JW Broadcasting

Kituo kipya cha Televisheni katika Interneti ambacho unaweza kufaidikia na mambo ya kiroho. Sasa kinapatikana.

 

Pata Kujua Mengi Zaidi

Tazama Vipindi Vilivyopo Kwenye TV.JW.ORG

Jifunze jinsi ya kutazama mfuatano wa vipindi kwenye kompyuta, tablet, au simu ya kisasa. Pia, jifunze jinsi ya kubadili kituo au kutumia ratiba ya vipindi.

Tazama Video za Karibuni Kwenye TV.JW.ORG

Cheza video yoyote ya karibuni wakati wowote. Tafutiza video, dhibiti video—tua, rudisha nyuma, au peleka mbele.

Sikiliza Muziki na Rekodi Kwenye TV.JW.ORG

Furahia drama za usomaji wa Biblia na muziki. Cheza programu moja ya sauti au programu zote zilizopo kwenye mkusanyiko mzima.

Badili Mipangilio Kwenye Kompyuta, Tablet, au Simu ya Kisasa

Chagua ubora wa picha unaopenda, amua kuweka au kutoweka maelezo mafupi ya, chagua mfuatano wa vipindi unaopenda.