Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Ni Kivinjari Gani na Mfumo upi wa Uendeshaji unaotegemezwa?

Ni Kivinjari Gani na Mfumo upi wa Uendeshaji unaotegemezwa?

Tunategemeza vivinjari (browsers) na mifumo ya uendeshaji (operating systems) ya kisasa zaidi. Utapata matokeo mazuri zaidi ikiwa utapakua na kutumia vivinjari vya kisasa zaidi.

Hakuna utegemezo kwa vivinjari vifuatavyo:

  • Internet Explorer toleo la 8 na matoleo ya zamani. Ikiwa unatumia kompyuta yenye mfumo wa uendeshaji wa zamani usioweza kukubali kutumia matoleo mapya ya Internet Explorer, tafadhali pakua na utumie kivinjari tofauti.

  • Opera Mini

Utegemezo kwa vifaa vya mkononi vyenye mifumo ya uendeshaji ifuatayo unapatikana:

  • Android 4.0 au wa karibuni zaidi

  • Windows 8.1 au wa karibuni zaidi

  • iOS 7.0 au wa karibuni zaidi (utegemezo wa kiasi kwa vifaa vyenye mifumo ya uendeshaji ya zamani)