Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Je, Ninaweza Kutazama JW Broadcasting Kwenye Televisheni Yangu?

Je, Ninaweza Kutazama JW Broadcasting Kwenye Televisheni Yangu?

Kuna njia mbalimbali za kufanya hivyo, kutia ndani zifuatazo:

  • JW Broadcasting inapatikana kupitia Roku, Apple TV (toleo la 4), na Amazon Fire TV.

  • Ikiwa una kompyuta au kifaa cha mkononi cha Apple na Apple TV toleo la zamani, unaweza kutumia AirPlay kutazama video kwenye televisheni yako.

  • Ikiwa una kifaa cha Google Chromecast, unaweza kuhamisha video kwenda kwenye televisheni yako kutoka katika kivinjari cha Chrome. Bofya sehemu ya kuhamisha video huku ukicheza video hiyo katika kompyuta au kifaa chako.

  • Unaweza kuunganisha kompyuta, tablet, or simu yako ya mkononi na TV yako kupitia HDMI, DVI, VGA, or S-Video. Soma vitabu vya mwongozo wa kompyuta au kifaa chako cha mkononi ili upate suluhisho bora kwa ajili ya Televisheni yako.