Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

JW Broadcasting Mtandaoni

JW Broadcasting Mtandaoni

JW Broadcasting ni kituo cha televisheni kilicho na habari zenye kujenga kiroho kwa ajili ya familia. Tazama habari zilizotayarishwa kwenye studio ya JW Broadcasting, na pia video kadhaa kutoka kwenye tovuti ya jw.org. Fungua sehemu ya Cheza Video Mfululizo ili ujionee video hizo kwa saa 24 au unaweza kutazama video moja moja kwa kubonyeza sehemu ya Chagua Video. Fungua sehemu ya Rekodi za Kusikiliza (Audio) ili usikilize programu mbalimbali za sauti kama vile muziki, drama, na drama za usomaji wa Biblia.

Tazama mtandaoni kwa kutumia kompyuta, tablet, au simu ya mkononi tovuti ya tv.jw.org. Tazama kupitia televisheni yako kwa kutumia Amazon Fire TV, Apple TV, au king’amuzi cha Roku.

 

KATIKA SEHEMU HII

Tazama Vipindi Vilivyopo Kwenye TV.JW.ORG

Jifunze jinsi ya kutazama mfuatano wa vipindi kwenye kompyuta, tablet, au simu ya kisasa. Pia, jifunze jinsi ya kubadili kituo au kutumia ratiba ya vipindi.

Tazama Video ya Karibuni Kwenye TV.JW.ORG

Cheza video yoyote ya karibuni wakati wowote. Tafutiza video, dhibiti video—tua, rudisha nyuma, au peleka mbele.

Sikiliza Muziki na Rekodi Kwenye TV.JW.ORG

Furahia drama za usomaji wa Biblia na muziki. Cheza programu moja ya sauti au programu zote zilizopo kwenye mkusanyiko mzima.

Badili Mipangilio Kwenye Kompyuta, Tablet, au Simu ya Kisasa

Chagua ubora wa picha unaopenda, amua kuweka au kutoweka maelezo mafupi ya, chagua mfuatano wa vipindi unaopenda.

Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi​—JW Broadcasting (Kwenye Mtandao)

Pata majibu ya maswali yanayoulizwa mara nyingi.