Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Nifanyeje Ikiwa Jibu la Swali Langu Halipatikani Hapa?

Nifanyeje Ikiwa Jibu la Swali Langu Halipatikani Hapa?

Rafiki anayejua jinsi ya kutumia Roku au JW Broadcasting anaweza kukusaidia. Ikiwa swali lako linahusiana na kifaa chako cha Roku au akaunti, tembelea utegemezo wa Roku mtandaoni. Ikiwa tatizo lako linahusu programu ya JW Broadcasting, tafadhali jaza na utume fomu yetu ya msaada mtandaoni.