Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Lugha Gani Zinapatikana Kwenye Roku?

Lugha Gani Zinapatikana Kwenye Roku?

Unaweza kutazama video kupitia programu ya Roku katika lugha zifuatazo: Kialbania, Kicheki, Kidenmark, Kiestonia, Kifaransa, Kifini, Kihispania, Kiholanzi, Kihosa, Kihungaria, Kiiban, Kiiceland, Kiingereza, Kiindonesia, Kiitaliano, Kijerumani, Kikroatia, Kimalagasi, Kimalay, Kimaya, Kinorway, Kinyarwanda, Kipijini cha Nigeria, Kireno, Kiserbia (cha Kiromani), Kishona, Kislovaki, Kislovenia, Kiswedi, Kitagalogi, Kitahiti, Kitsonga, Kitzotzil, Kizulu, Lugha ya Ishara ya Argentina, Lugha ya Ishara ya Brazili, Lugha ya Ishara ya Ekuado, Lugha ya Ishara ya Italia, Lugha ya Ishara ya Kolombia, Lugha ya Ishara ya Marekani, Lugha ya Ishara ya Mexico, Lugha ya Ishara ya Venezuela.

Tumia kitufe cha Chagua Lugha kilicho kwenye ukurasa wa mwanzo wa tovuti ya JW Broadcasting kuchagua lugha mojawapo.