Kwa sasa sehemu ya Onyesha Maandishi ya Video haipatikani katika video fulani zilizowekwa hivi karibuni kwenye JW Broadcasting katika king’amuzi cha Roku, na haitapatikana kwa miezi kadhaa. Watumiaji wa Roku wanaotumia maandishi ya video, wanaweza kuyaona kwenye kompyuta au kifaa cha mkononi kupitia tovuti ya tv.jw.org. Ili kuona maandishi hayo, chagua sanduku Onyesha maandishi ikiwa yapo kwenye sehemu ya Vipimo.