Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Kwa Nini Kituo cha JW Broadcasting Hakipatikani Kwenye King’amuzi cha Roku?

Kwa Nini Kituo cha JW Broadcasting Hakipatikani Kwenye King’amuzi cha Roku?

Huenda hautafuti maneno sahihi katika sehemu ya Tafuta. Angalia maelekezo ya Kusakinisha JW Broadcasting. Sababu nyingine ni huenda kifaa chako hakitegemezwi kwa sasa. JW Broadcasting inafanya kazi kwenye Roku LT, Roku 1, Roku 2, Roku 3, na Roku Streaming Stick.