Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Nifanye Nini Ikiwa Maswali Yangu Hayajibiwi Kwenye Sehemu Hii?

Nifanye Nini Ikiwa Maswali Yangu Hayajibiwi Kwenye Sehemu Hii?

Unaweza kupata msaada kutoka kwa rafiki anayefahamu vizuri kutumia Apple TV au JW Broadcasting. Ikiwa swali lako linahusiana na Apple TV au akaunti yako, tembelea tovuti ya Apple upate msaada. Ikiwa unahitaji msaada kuhusu programu ya JW Broadcasting, tafadhali wasiliana na ofisi ya tawi iliyo karibu nawe.