Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Kwa Nini Sipati JW Broadcasting Kwenye Sehemu ya Kupakua Programu?

Kwa Nini Sipati JW Broadcasting Kwenye Sehemu ya Kupakua Programu?

Huenda umeandika neno ambalo si sahihi. (Ona mwongozo wenye kichwa Sakinisha Programu ya JW Broadcasting kwenye Apple TV.) Au, inawezekana kifaa chako hakina uwezo wa kufungua programu hiyo. JW Broadcasting inapatikana kwenye Apple TV (Toleo la 4).