Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Je, Kadi ya Benki Inahitajika Ili Nifungue Akaunti ya Apple?

Je, Kadi ya Benki Inahitajika Ili Nifungue Akaunti ya Apple?

Unapotumia kwa mara ya kwanza akaunti yako ya Apple kuingia kwenye sehemu ya kutunza programu yaani (iTunes Store, App Store, or iBooks Store), utaombwa ueleze njia utakayotumia ya kutuma malipo, kwa kuwa kuna programu katika sehemu hiyo utakazohitaji kulipia.

Ikiwa huhitaji kuambatanisha njia ya malipo na akaunti yako ya Apple, fuata hatua zilizo kwenye sehemu ya msaada ya Apple.