Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Ninaweza Kupunguzaje Mwendo wa Sehemu ya Kusikiliza?

Ninaweza Kupunguzaje Mwendo wa Sehemu ya Kusikiliza?

Uwezo wa kuchagua mwendo wa sehemu ya kusikiliza unapatikana kwenye vifaa vinavyotumia Android 6.0 au vya kisasa zaidi. Chagua Mipangilio kwenye menyu kuu, kisha utumie menyu ndogo kando ya Mwendo wa Kucheza Rekodi (Global Playback Speed) kuchagua mwendo unaotaka. Unapofanya mazoezi, chagua mwendo kwenye zoezi hilo.