Mashahidi wa Yehova nchini Uingereza wanahamisha ofisi ya tawi kutoka Mill Hill, London, hadi eneo lililo kilomita 70 hivi mashariki, karibu na jiji la Chelmsford, Essex. Katika picha hii, tutaona jinsi kazi inavyoendelea katika ofisi mpya ya tawi kati ya Septemba 2015 na Agosti 2016.