Katika mfululizo huu wa picha, ona maendeleo yaliyofanywa kwenye ujenzi wa makao makuu mapya ya Mashahidi wa Yehova na jinsi wajitoleaji walivyosaidia katika kazi hiyo ya ujenzi kuanzia mwezi wa Septemba 2015 hadi Februari 2016

Picha ya eneo lote la ujenzi la Warwick litakapokamilika. Kuanzia kushoto juu kwenda kulia:

  1. Jengo la Gereji

  2. Jengo la Maegesho ya Magari ya Wageni

  3. Jengo la Udumishaji na Maegesho ya Wenyeji

  4. Jengo la Makazi B

  5. Jengo la Makazi D

  6. Jengo la Makazi C

  7. Jengo la Makazi A

  8. Jengo la Ofisi na Huduma Mbalimbali