Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Mnara wa Mlinzi—Limekuwa Likichapishwa Tangu 1879

Mnara wa Mlinzi—Limekuwa Likichapishwa Tangu 1879

Ona mwonekano mbalimbali ambao gazeti linalosambazwa kwa wingi zaidi ulimwenguni limekuwa nao. Tarakimu zinazoonyeshwa katika video hii zinawakilisha idadi ya magazeti ya Mnara wa Mlinzi yanayosambazwa kila mwezi.