Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Mambo Makuu ya Mkutano wa Kila Mwaka wa 2013

Mambo Makuu ya Mkutano wa Kila Mwaka wa 2013

Watu milioni 1.4 ulimwenguni pote waliunganishwa kupitia video kwa ajili ya mkutano wa 129 wa kila mwaka wa Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania. Tazama mambo makuu ya tukio hilo la kihistoria.