KUSAIDIA JAMII

Walinde Watoto Wako

Kiswahili
Walinde Watoto Wako
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/502015137/univ/art/502015137_univ_sqr_xl.jpg

Walinde Watoto Wako

Walinde Watoto Wako

Video hii, ambayo mara ya kwanza ilichapishwa na Mashahidi wa Yehova mwaka wa 2002 katika Kiingereza na Kihispania, ni mfano wa jinsi ambavyo wazazi wamesaidiwa kuwalinda watoto wao dhidi ya watu wanaowanyemelea ili wafanye ngono nao.