Mashahidi wa Yehova—Taarifa Fupi Kulingana na Nchi

Saipan

Taarifa Fupi—Saipan

  • 43,000—Idadi
  • 236—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 3—Makutaniko
  • 1 kwa 189—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari​—Micronesia

Wale wanaotoka nchi nyingine ili kutumika katika Visiwa vya Pasifiki mara nyingi hukabili changamoto tatu. Wahubiri hawa wa Ufalme hukabilianaje na hali hizo?