Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Kosrae

Taarifa Fupi—Kosrae

  • 8,000—Idadi
  • 10—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 1—Makutaniko
  • 1 kwa 889—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari—Micronesia

Wale wanaotoka nchi nyingine ili kutumika katika Visiwa vya Pasifiki mara nyingi hukabili changamoto tatu. Wahubiri hawa wa Ufalme hukabilianaje na hali hizo?