Mashahidi wa Yehova—Taarifa Fupi Kulingana na Nchi

Zambia

Taarifa Fupi—Zambia

  • 21,177,000—Idadi
  • 284,792—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 3,908—Makutaniko
  • 1 kwa 84—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MASIMULIZI YA MAISHA

Dayrell Sharp: Kwa Nguvu za Mungu Haturudi Nyuma

Licha ya hali ngumu, Dayrell na Susanne Sharp waliwasaidia zaidi ya watu 130 kufanya maendeleo na kubatizwa.