Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili
  • Stellenbosch, Afrika Kusini—Kumhubiria mkulima wa zabibu katika shamba la mizabibu nje ya Cape Town

  • Bo-Kaap, Cape Town, Afrika Kusini—Kuhubiri katika mtaa mmoja jijini

  • Weltevrede, Jimbo la Mpumalanga, Afrika Kusini​—Kumwalika mwanamke wa Kindebele katika mikutano kwenye Jumba la Ufalme

Taarifa Fupi—Afrika Kusini

  • 55,523,510—Idadi
  • 104,395—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 2,047—Makutaniko
  • 1 kwa 532—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini