Taarifa Fupi—Latvia
- 1,857,000—Idadi
- 2,104—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 29—Makutaniko
- 1 kwa 894—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
MNARA WA MLINZI
“Ahadi ya Dunia Kuwa Paradiso Ilibadili Maisha Yangu”
Ivars Vigulis aliishi maisha ya umashuhuri, umaarufu, na msisimko kutokana na mashindano ya pikipiki. Mafundisho ya Biblia yalibadilije maisha yake?

