Taarifa Fupi—Ireland
- 7,329,000—Idadi
- 8,381—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 123—Makutaniko
- 1 kwa 885—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
TAARIFA ZA HABARI
Maonyesho Mawili Yafunguliwa Kwenye Ofisi ya Tawi ya Uingereza
KAZI YA UCHAPISHAJI
Kuhubiri Katika Lugha za Asili za Ireland na Uingereza
Mashahidi wa Yehova wanajitahidi kuwahubiria watu wanaozungumza lugha za asili za Ireland na Uingereza. Wamepata matokeo gani?
KAZI YA KUHUBIRI
Kuhubiri Katika Eneo la Mbali—Ireland
Familia inaeleza jinsi ambavyo imekuwa na uhusiano wa karibu kwa sababu ya kuhubiri pamoja habari njema katika eneo moja la mbali .
MATUKIO YA PEKEE
Kusanyiko la Wilaya la Pekee Nchini Ireland
Mashahidi wa Yehova huko Dublin, waliwakaribisha wajumbe kutoka nchi nyingine kwenye Kusanyiko la Wilaya la Pekee la mwaka wa 2012 lililokuwa na kichwa, “Linda Moyo Wako!” Ona kile ambacho wengine walisema kuhusu tukio hilo.

