Taarifa Fupi—Ghana
- 33,742,000—Idadi
- 163,141—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 2,634—Makutaniko
- 1 kwa 210—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
TAARIFA ZA HABARI
Vitabu vya Biblia Vyatolewa Katika Lugha Mbili za Ishara Machi 2025
MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO
Walijitoa Wenyewe kwa Hiari Nchini Ghana
Kuna changamoto na thawabu nyingi kwa wale wanaochagua kutumikia mahali penye uhitaji mkubwa wa wahubiri wa Ufalme.

