Mashahidi wa Yehova—Taarifa Fupi Kulingana na Nchi

Estonia

  • Tallinn, Estonia—Karibu na mwaka wa 1930, Kaarlo Harteva anajiandaa kupeperusha hotuba ya Biblia kupitia redio ambayo itasikilizwa Estonia, magharibi mwa Urusi, na katika eneo lote la Scandinavia

Taarifa Fupi—Estonia

  • 1,370,000—Idadi
  • 4,118—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 54—Makutaniko
  • 1 kwa 334—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

KAZI YA UCHAPISHAJI

Ubora wa Biblia Mpya Watambuliwa Nchini Estonia

Tafsiri ya Ulimwengu Mpya katika Kiestonia ilichaguliwa kushindania tuzo ya Language Deed of the Year Award nchini Estonia katika mwaka wa 2014.