Taarifa Fupi—Aruba
- 108,000—Idadi
- 1,106—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 13—Makutaniko
- 1 kwa 99—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini


Januari 1950, Wamishonari Henry na Alice Tweed, pamoja na Oris Mills wakiwa wamesimama mbele ya Jumba la Ufalme la kwanza huko San Nicolas, Aruba. Baadaye Oris na mume wake, Woodworth, walitumikia kwa miaka mingi wakiwa wamishonari nchini Nigeria na St.Lucia
Ufuo wa Rodger, Aruba—Wenzi wa ndoa wakimpa mwanamume broshua Furahia Maisha Milele!
Ufuo wa Rodger, Aruba—Dada wawili wakimwonyesha mwanamke mmoja video Ni Nini Hutendeka Kwenye Funzo la Biblia?
Ufuo wa Rodger, Aruba—Kuhubiri ujumbe wa Biblia wa tumaini