Taarifa Fupi—Angola
- 39,040,000—Idadi
- 189,454—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 2,614—Makutaniko
- 1 kwa 211—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
TAARIFA ZA HABARI
Vitabu Mbalimbali vya Biblia Vyatolewa Katika Lugha Nne Juni 2025
TAARIFA ZA HABARI
Biblia Saba Zatolewa Katika Sehemu Mbalimbali Ulimwenguni Agosti 2024
JINSI MICHANGO YAKO INAVYOTUMIWA
Kutoa Msaada kwa Walioathiriwa na Misiba
Katika mwaka wa utumishi wa 2020, mamilioni ya ndugu zetu waliathiriwa na ugonjwa wa virusi vya corona na misiba ya asili. Tulifanya nini ili kuwasaidia?
TAARIFA ZA HABARI
Mashahidi Watoa Msaada Baada ya Mafuriko Nchini Angola
Siku moja tu baada ya mfuriko makubwa katika jimbo la Benguela nchini Angola, halmashauri ya kutoa misaada ilifanyizwa ili kusaidia walioathirika.

