Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Ureno

Rua Conde Barão, 511

P-2649-513 ALCABIDECHE

URENO

+351 214-690-600

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:30 asubuhi hadi saa 5:30 asubuhi na saa 7:30 alasiri hadi saa 10:30 jioni

Muda wa matembezi ni saa 1

Mambo yenye kupendeza

Husafirisha machapisho kwa ajili ya makutaniko zaidi ya 700 nchini Ureno, Azores, Madeira, Cape Verde, São Tomé na Príncipe. Hutokeza rekodi za sauti na video katika Kireno cha Ulaya na Lugha ya Ishara ya Ureno.

Pakua broshua ya matembezi.