Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Uingereza

Watch Tower

The Ridgeway

LONDON

NW7 1RN

ENGLAND

+44 20-8906-2211

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na 7:00 alasiri hadi saa 10:00 jioni. Matembezi yanaanza kila baada ya saa moja.

Muda wa matembezi ni dakika 45

Tafadhali toa taarifa mapema ya matembezi kwa ajili ya vikundi vikubwa

Mambo yenye kupendeza

Husimamia kazi ya elimu ya Biblia ya Mashahidi wa Yehova katika nchi kama Uingereza, Ireland, na Malta. Husimamia kazi ya kutafsiri machapisho ya Biblia katika lugha mbalimbali kutia ndani lugha ya ishara ya Uingereza, Lugha ya Ireland, Kiselti cha Scotland, na Lugha ya Wales. Pia hutokeza video na rekodi za kusikiliza.

Maonyesho Utakayotembelea Ukiwa Peke Yako

Biblia Nchini Uingereza

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni.

Inaonyesha maendelea ya kazi ya kuhubiri nchini Uingereza na Ireland.

Pakua broshua ya matembezi