Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Uganda

808 Lubowa Estate Road

Lubowa

KAMPALA

UGANDA

+256 20 4201100

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 10:00 jioni

Muda wa matembezi ni dakika 30

Mambo yenye kupendeza

Hutafsiri machapisho ya Biblia katika lugha nane za kienyeji: Kicholi, Kiteso, Kikonzo, Kiganda, Kigbara, Kimadi, Kinyankore, na Kitoro.

Pakua broshua ya matembezi.