Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Tahiti

P.K. 2,7 Cote mer

Toahotu

Taiarapu Ouest

TARAVAO TAHITI

POLINESIA UFARANSA

+689 54-70-00

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 10:00 jioni

Muda wa matembezi ni saa 1 na dakika 30

Mambo yenye kupendeza

Hutafsiri machapisho ya Biblia katika Kitahiti. Husimamia kazi ya kufundisha Biblia ya Mashahidi wa Yehova katika visiwa ambavyo maeneo yake yakijumlishwa yanaweza kutoshana na eneo la Ulaya Magharibi.

Pakua broshua ya matembezi.