Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Sri Lanka

Watch Tower Bible and Tract Society of Lanka

711 Station Road

WATTALA 11300

SRI LANKA

+94 11-2930-444

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 9:45 alasiri

Muda wa matembezi ni saa 45

Mambo yenye kupendeza

Hutafsiri machapisho ya Biblia katika Kisinhala. Hutokeza rekodi za sauti katika Kisinhala.

Pakua broshua ya matembezi.