Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Rumania

Orzari Street No. 29-31

Sector 2

RO-021552 BUCUREȘTI

ROMÂNIA

+40 21-302-75-00

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 4:30 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 9:30 jioni

Muda wa matembezi ni saa 1 na dakika 30

Mambo yenye kupendeza

Husimamia utendaji wa makutaniko 551 ya Mashahidi wa Yehova nchini Rumania. Huandaa makusanyiko ya eneo na ya mzunguko. Hutafsiri machapisho ya Biblia na video katika Kirumania, Kiromani (cha Rumania) na Lugha ya Ishara ya Rumania. Hutokeza rekodi za sauti katika Kirumania.

Pakua broshua ya matembezi.