Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Poland

Świadkowie Jehowy w Polsce

ul. Warszawska 14

05-830 NADARZYN

POLAND

+48 22-739-16-00

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 4:00 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 9:00 alasiri

Muda wa matembezi ni saa 2

Mambo yenye kupendeza

Hutafsiri machapisho ya Biblia katika Kipolandi. Matembezi yanahusisha wonyesho wa historia ya Mashahidi wa Yehova nchini Poland.

Pakua broshua ya matembezi.