Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Peru

Asociación de los Testigos de Jehová

Jirón El Cortijo 329

Monterrico Chico

LIMA 33

PERU

+51 1-708-​9000

Pata Maelekezo

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 10:00 jioni

Muda wa matembezi ni saa 1

Mambo yenye kupendeza

Hutafsiri machapisho ya Biblia katika lugha ya Kiashaninka, Kiawajun, Lugha ya Ishara ya Peru, Kikwechua (Ancash), Kikwechua (Ayacucho), Kikwechua (Cuzco), Kikwechua (Huallaga Huánuco), Kikwechua (Huaylla Wanca), na Kishipibo-Conibo.

Pakua broshua ya matembezi