Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Paraguai

Asociación Torre de Vigía de Biblias y Tratados

San Roque González 234

Ruta 1, Km. 17

B° 25 de Mayo

PY - 2560 CAPIATA

PARAGUAY

+595 21-578-698

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 3:00 asubuhi hadi saa 4:30 asubuhi na saa 8:30 alasiri hadi saa 10:00 jioni

Muda wa matembezi ni saa 1 na dakika 15

Mambo yenye kupendeza

Husimamia utendaji wa Mashahidi wa Yehova nchini Paraguai. Hutafsiri machapisho ya Biblia na magazeti katika Guarani na Lugha ya Ishara ya Paraguai. Pia, huandaa na kuhariri rekodi za sauti na video.

Pakua broshua ya matembezi.