Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Nigeria

Km 51, Benin-Auchi Road

IGIEDUMA 301110

EDO STATE

NIGERIA

+234 7080-662-020

+234 8039-003-790

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 10:00 jioni

Muda wa matembezi ni saa 2

Mambo yenye kupendeza

Kila mwaka huchapisha nakala milioni 41 za Mnara wa Mlinzi na Amkeni! katika lugha tisa. Husafirisha machapisho ya Biblia nchini Nigeria na kwa ajili ya nchi tano nyingine katika Afrika Magharibi.

Pakua broshua ya matembezi.