Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

New Caledonia

236, rue Georges Lèques

Normandie

98800 NOUMEA

NEW CALEDONIA

+687 43-75-00

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 10:00 jioni

Muda wa matembezi ni dakika 45

Mambo yenye kupendeza

Husimamia utendaji wa Mashahidi wa Yehova nchini New Caledonia na Visiwa vya Wallis na Futuna. Hutafsiri machapisho katika lugha ya Drehu, Wallisian, na lugha nane nyingine za kienyeji.

Pakua broshua ya matembezi.