Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Myanmar

94-B Inya Rd

YANGON

MYANMAR

+95 1-2305692

+95 1-2305693

+95 1-512699

+95 1-511035

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 1:30 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 9:00 alasiri

Muda wa matembezi ni saa 1

Mambo yenye kupendeza

Hutafsiri machapisho ya Biblia katika lugha ya Myanmar, Chin (Hakha), Kachin, Karen (S’gaw), Mizo, na katika lugha 10 nyingine.

Pakua broshua ya matembezi.